TEL: +255 752 920 592

Pakua Mipango App, Ufikie malengo yako binafsi ya kimaendeleo!

Mipango App kwa kutumia akili ya bandia (Artificial Intelligence), inakuwezesha kusimamia Mapato, Matumizi na Uwekezaji wako kwa mafanikio Zaidi.

About us

Mipango ni app na tovuti iliyojikita katika kutoa elimu ya kifedha na kuwezesha usimamizi bora wa kifedha, binafsi na kufikia malengo ya kimaendeleo.