TEL: +255 752 920 592

Kuhusu sisi

Mipango App

Mipango ni app na tovuti iliyojikita katika kutoa elimu ya kifedha na kuwezesha usimamizi bora wa kifedha, binafsi na kufikia malengo ya maendeleo. Huu ni uwanja wa kujipatia ushauri na mafunzo ya usimamizi binafsi wa kifedha kutoka kwa wataalamu mbalimbali na watu mashuhuri waliofanikiwa katika usimamizi wa fedha na malengo ya maendeleo. Kupitia Mipango, utajifunaza ujasiriamali, kujiwekea mikakati na kusimamia mikakati yako.


Mipango app ni nyezo nzuri zaidi inayokuwezesha kuweka mipango yako kua malengo na kusimamiwa na akili bandia ya app yetu, katika kuhakikisha malengo yako yanatimia. Tovoti hii ni tuna kwa vijana, wafanyabiashara, na waajiriwa wenye malengo makubwa ya maisha yao!Elimika kuhusu fedha, uwekezaji na biashara!

Simamia Mapato, Matumizi, Malengo na Fursa zako kwa mafanikio binafsi!

Timu Yetu

Lillian Makoi Rabi

Muanzilishi

Agness Mollel

Muanzilishi

Chris Rabi

Muanzilishi

Nicholaus Ngolongolo

Muanzilishi

Myoma Kapya

Mhariri Mkuu

Mirejesho

"Kama kibarua, mapato yangu ni ya siku na si ya mwezi, matumizi yangu mengi pia, Mipnagoapp imeniwezesha sana kusimamia mapato yangu na kuweza kujipa malengo makubwa zaidi"
Omari Ayubu
"Hamna kitu kigumu kama kupanga bajeti! Dah! Mipango app mmenisaidia sana kupanga na kuishi bajeti za kila siku!"
Alphonce Julius
"Dah! Mipango kwakweli kwenye suala zima la kujitambua, mmenisaidia sana! Kwa mara ya kwanza, nimekua na malengo ya kifedha! Ghafla najiona sina hela kabisa, mambo mengi, muda mchache."
Kalos Jumanne
"Kumbe nilikua napoteza hela nyingi hivi kwenye manunuzi yasiyo na msingi!! Natamani kulia, ila nashukuru Mipango, nimejipanga kisawasawa sasa!"
Jamila Hassan

Jinsi ya kutufikia

About us

Mipango ni app na tovuti iliyojikita katika kutoa elimu ya kifedha na kuwezesha usimamizi bora wa kifedha, binafsi na kufikia malengo ya kimaendeleo.