Riba Benki Isizidi 10%
Rais Samia Suluhu Hassan ameiagiza Benki Kuu kuzisimamia Benki zote nchini na Taasisi nyingine ili zipunguze kiwango cha riba kwenye mikopo hadi 10% kushuka chini. Rais Samia ameto
Mambo matano gumzo bajeti 2021/22
Mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2021/22 yamesomwa leo tarehe 10 Juni, 2021 bungeni huku mambo matano yakionekana kugusa zaidi wana
Serikali ya Tanzania Yalipa Madai ya Thamani ya Shilingi 965.1 bilioni
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia mwezi Aprili mwaka 2021, jumla ya madai yenye jumla ya Shilingi 965.1 bilioni yamehakikiwa na kulipwa.Hayo yameb
Wajasiriamali, Wakulima Wadogo Tanga Kupewa Mafunzo ya Biashara
Katika kuwainua na kukuza mitaji ya wajasiriamali na wakulima wadogo nchini, Benki ya NBC imeahidi kuendelea kutoa mafunzo ya biashara na kilimo biashara, ili wajasiriamali na waku
Serikali Yasema Wawekezaji Wanaongezeka
Serikali ya Tanzania yasema, maombi ya uwekezaji nchini yameongezeka kwa kipindi cha miezi miwili hadi mitatu iliyopita. Hii ni kutokana na wito wa Mheshimiwa Rais wa Tanzania, Sam
Wafanyabiashara nchini kushindanishwa Afrika ili kupata tuzo
Wafanyabiashara nchini wataanza kupatiwa tuzo ili iwe motisha kutanua na kukuza biashara zao ndani nan je ya nchi. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Maendeleo na Biashara nchini (Tan
Bei Ya Petroli Yapanda
Mwandishi Wetu Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (Ewura) imetangaza bei kikomo za mafuta ya petroli kwa mwezi Juni ambapo imezidi kuongezeka kwa mkoa wa Dar e